00:00/00:00
随时随地任意搜索并下载全网无损歌曲
扫描右侧二维码下载歌曲到手机 

免费获取更多无损音乐下载链接
文本歌词
Watoto Feat Harmonize (Explicit) - Country Boy/하모나이즈
Lyrics by:Country Boy
Konde Boy na Wizzy iih
Eeh Country Wizzy
Konde boy na Wizzy iih
Eeeh Country Wizzy
It's kizzy beiby
Yao yao
Country Wizzy again iih
Na Konde boy
Kama una mtoto wako njoo nae
Usije ukazubaa baadaye
Niko na bunduki mi ni roll naye
Tuna roll up roll up roll up yeah
Naona ashanga waka waka
Na mtoto anavyo kata kata
Itakuwaje akimkamata mata
Nitamchakaza chaka chaka
Nangoja muda ufike
Twende ndani ayayayaya
Kwenye bonge la uwanja
Kitandani ayayayaya
Nikunyeshe vile mi hufanya mamy
Sinanga utani utani utani utani
Kuna watoto wakali ooh
Kali oooh kali ooh kali ooh
Nyuma wana makalio ooh
Kali ooh kali ooh kali ooh
Temeke na kinondoni haya
Ilala manzese na mwananyamala mala
Hivi viatu vipo mfukoni haya
Napigaga peku
Yani bila hata tandala ndala
Nawaskia machizi wanaunda kamati
Wana data na viuno nailo body body
Inabidi nijiongeze niwe big daddy
Yes I am a big daddy and am a move daddy
Woooh
Mama we ni fire yooh
Umekusanya kama kwaya yo
We ni number 1 desire girl
Kwenye michezo we ni mbaya yo
Nangoja muda ufike
Twende ndani ayayayaya
Kwenye bonge la uwanja
Kitandani ayayaya
Nikuonyeshe vile mi hufanya mami
Sinaga utani utani utani utani
Ooh beiby
Katika piga magoti piga magoti
Acha wanaopiga majungu
Asa namwaga manoti namwaga manoti
Mana nishahongwa na mzungu
Ona kapandisha uchizi hivyo
Kabinuka kama mbuzi
Kashikwa mapembe
Hasira za mkizi hizo
Furaha kwa mvuvi kijino pembe
Kuna watoto wakali ooh
Kali oooh kali ooh kali ooh
Nyuma wana makalio
Kali oooh kali ooh kali ooh iiih
Temeke na kinondoni haya
Ilala manzese na Mwananyamala mala
Huku viatu vipo mfuko haya
Napigaga peku yani bila hata ndala ndala
It's kizzy beiby
Konde Boy na Wizzy iih
Eeh Country Wizzy
Konde boy na Wizzy iih
Eeeh Country Wizzy