00:00/00:00
随时随地任意搜索并下载全网无损歌曲
扫描右侧二维码下载歌曲到手机 

免费获取更多无损音乐下载链接
文本歌词
Nitasubiri(The Refix) - Jux/Lamar/Afrochuck
Written by:Steve Whitey
Nakupenda baby nakupenda wewe eh
Ndani ya mtima wangu mamaa uko we mwenyewe eh
Niko mbali na we siko radhi nikukose wewe
Niko tayari wanipige mawe nitasubiri niwe mimi nawe
Ushanifanya niwe mantle hata chakula sikitamani
I wish ungekuwepo tucheze cheze wangu wote mwanani
Ushanifanya niwe mantle hata chakula sikitamani
I wish ungewepo baby eh
Nitasubiri usilie mama nitakuona tena
Mi nitasubiri usikate tamaa najua sio mapema
Nitasubiri usilie mama nitakuona tena
Mi nitasubiri usikate tamaa najua sio mapema
Mi nitasubirii
Mi nitasubiri usikate tamaa najua sio mapema
Mi nitasubiri usikate tamaa najua sio mapema
Mi nitasubirii
Mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi
Nakosa amani namwoba mora we urudi nyumbani
Ufananishwe na nani nimemiss ulivyonipa zamani
Subira mora amenipa siku ikifika ni kwa penzi lako
Ushanifanya niwe mantle hata chakula sikitamani
I wish ungekuwepo tucheze cheze wangu wote mwanani
Ushanifanya niwe mantle hata chakula sikitamani
I wish ungewepo eeeeh
Nitasubiri usilie mama nitakuona tena
Nitasubiri usikate tamaa najua sio mapema
Nitasubiri usilie mama nitakuona tena
Nitasubiri usikate tamaa najua sio mapema
Nitasubirii
Nitasubiri usilie mama nitakuona tena
Mi nitasubiri usikate tamaa najua sio mapema
Mi nitasubirii
Nitasubiri
Nitasubiri
Nitasubiri
Nitasubiri
Nitasubiri
Nitasubiri usilie mama nitakuona tena
Nitasubiri usikate tamaa najua sio mapema
Nitasubirii